Thursday, June 3, 2010

VIMWANA WA MKURANGA NDIO HAWA


Miss Mkuranga Rahma Faiz(katikati) mshindi wa pili Amina Ali (kulia) na Everine Fredy (kushoto)wakipunga mikono yao juu baada ya kutangazwa kuwa washindi wa shindano hilo

Ofisa Udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya vodacom Tanzania. Ibrahim Kaude akimpongeza Miss Mkuranga Rahma Faiz baada ya kushinda shindo hilo liliwashirikisha warembo tisa

Miss Mkuranga 2010
Rahma Faiz

'HAPA VIPI MATANGAZO YA SALAMA CONDOM YANAONEKANA VIZURI'
Miss Mkuranga Rahma Faiz akiwa na mdau muandaaji wa Miss Mkuranga.

Mkurugenzi wa 3G entertainment akiwa na project manager Emmanuel Kalugira pamoja na Ray Mshana aliyekuwa MC katika shughuli nzima siku hiyo

HAWA NDIO WASHIRIKI WALIOFANIKIWA KUNGIA 5 BORA WAKIWA PAMOJA NA MSHINDI WA KWANZA, WA PILI NA WA TATU