Wednesday, August 26, 2009

shindano la kumtafuta dj bora wa kitaa limeanza liljulikana kama STREET DJ.Shindano limeandaliwa na 3G Entertainment wakishirikiana na QSSP Group Ltd


Baadhi ya majaji wa Dj wa Kitaa wakipagawishwa na dj aliyekua akifanya vitu vyake











Dj akipata dk 5 za kufahamishwa mashine kabla ya kuanza manjonjo yake

Washiriki waliojifua ktk shindano
la Dj bora wa kitaa (street Dj) katika picha ya pamoja

Hawa ndio ma-Dj wa kitaa ktk usahili uliofanyika ofisi za C2c




kikosi kamili cha chinja chinja(majaji)

"muda wa chinja chinja"nani anabaki katika shindano
nani anatoka,walipatikana washindi 25



wenye furaha baada ya mchujo