Mratibu wa mkoa wa pwani akiwa na mkurugenzi wa 3G wakibadilishana mawazo kabla ya shindano kuanza
Wadhamini toka PSI wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa kampuni ya 3G entertainment walioandaa shindano la kumtafuta mrembo wa wilaya ya mkuranga
Mshehereshaji Ray akiongoza jahazi la kumtafuta mlimbwende wa Wilaya ya Mkuranga
Duh Kijotijoti!!!
shughuli imeanza kila mrembo na manjonjo yake, Miavuli ya PSI ilitamba ktk stage ikiwa na chapa ya Salama Condom.
Kamati ya miss Tanzania, Mdahmini Mkuu na Mgeni rasmi wakifuatilia kwa karibu shindano la Miss Mkuranga
Dar Morden Taarab Wana wa Pembe la Ng'ombe, wakitumbuiza washabiki waliokuja toka Town hadi Mkuranga kushuhudia nani ataibuka kidedea wa Miss Mkuranga 2010
Mdau hakuwa mbali kucheck check kila kitu kama kipo sawa
Mkurugenzi wa 3G Entertainment akifungua Rasmi Shindano la Vodacom Miss Tanzania Wilaya ya Mkuranga na kumkaribisha Afisa Utamaduni wa Wilaya ya Mkuranga