Tuesday, October 5, 2010

M-PESA YASHITUA MJI WA TANGA-USINGIZI SHAAAAAAA*^^%%^


Mratibu mkuu wa shughuli na show za zanzibar star ndugu Emmanuel Kalugira akielekeza jambo kabla ya shughuli kupamba moto

TANGA KWAWAKA MOTO 'M-PESA'


kundi zima la new zanzibar star likikamua jukwaani siku ilipofanywa promosheni ya m pesa mkoa wa tanga kulikuwa na burudani mbalimbali.

Mtarishaji wa shughuli nzima SOPHIA PRODUCTION upande wa tanga akitoa yake machache wakati wa promosheni ya m pesa,
ZANZIBAR STAR WAKIWAPAGAWISHA WANA TANGA


HALOOOOOOOO WANATANGA MPOOOOO


KUNDI ZIMA LA ZANZIBAR MORDEN TAARAB
BAIKOKO!!!
BAIKOKO!!!


Duh, kijana aliacha gumzo kwa wenyeji wa Tanga maana alikuwa anakikata kiuno si mchezo

TANGA ILIPATA FURSA YA HUDUMA YA KUSAJILI NAMBA ZAO

Watazamaji walioshikwa na mdadai waliamua kukikata hapo hapo alipo kama anavyoonekana dada huyu.

BAIKOKO WALIKAMUA KAMA KAWA



Tshirt zilitolewa kwa kila anayeweza kujibu swali la m-pesa au mtandao wa vodacom

'UKIKIPATA KITUMIE'
Majibu ya Kitanga hayo baada ya kuulizwa mbona umevaa hapahapa hiyo Tshirt?



Monday, October 4, 2010

TAMASHA LA WAZI LA M-PESA LILIVYOFANA TANGA


Baadhi ya umati wa watu uliofurika Mjini tanga kwenye promosheni ya m- pesa